Quantcast
Channel: TEAMTZ » Lifestyle
Browsing latest articles
Browse All 16 View Live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Messi anaweza asifungwe jela kama atalipa tsh 637.8

Nahodha wa timu ya taifa ya Argentina anayeichezea FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi anaweza akakutana na adhabu ya kifungo cha miezi 21 jela yeye pamoja na baba yake mzazi Jorge Messi kwa kosa la...

View Article



Exclusive-Edu boy afungua studio baada ya Diamond Karanga

Hii imempa changamoto sana msanii wa kizazi kipya Edu boy baada ya kuona juhudi za bwana Diamond Platnumz kuanza na Studio,Wasafi.com,Chibu perfume sasa ni Diamond Karanga Hapa aeleza ataanzia wapi...

View Article

Exclusive-Motra ThE Future apata dili WcB baada ya Stereo + Video

Ni ile siku Diamond Platnumz aliyokuwa anazindua ngoma zake mbili ambazo ni I MISS YOU na FIRE kupitia Xxl ya Clouds fm ndipo Motra ThE Future akapata nafasi ya kukutana Rais wa wasafi na kumkumbusha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hawa ndio mastaa waliyoshuhudia live harusi ya Lionel Messi

Usiku wa Ijumaa ya June 30 staa wa soka wa kimataifa wa Argentina anayeichezea FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi alifunga ndoa na mpenzi wake wa toka utotoni Antonella Roccuzzo ambaye pia wamezaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Exclusive-Baraka The Prince amkana tena mdogo wake mwingine + Video

Baraka The Prince ni msanii mwenye mafanikio makubwa katika muziki wa Bongo fleva ila anashutumiwa kwa kukana ndugu zake na kugombana na wasanii wenzake kwake ni jambo la kawaida tu, Mwaka uliyopita...

View Article


Huyu ndio mrithi wa Wiz Khalifa kwa Amber Rose

Mwanamitindo wa Marekani  huwa hataki mchezo hata kidogo pale linapokuja suala zima la mahusianao. Baada ya kukaa muda mrefu bila ya kuonekana na mpenzi mpya tangu alipoachana na mzazi mweziye Wiz...

View Article

Polisi Kagera amtaja muhusika mkuu anayehusika na uchomaji wa nyumba za watu

Kutokana na kuwepo kwa matukio ya nyumba za watu kuungua moto Jeshi la Polisi Kagera limewakamata watu wawili wanaosadikiwa kuchoma moto nyumba za watu katika kijiji cha Bugasha kilichopo Kata ya...

View Article

Huyu ndiyo yule Shoga aliye timuliwa kwa watu,Heka Heka na Geah Habib + Video

Yule Shoga aliyezua kizazaa baada ya kutimuliwa na mtu aliyekua akiishi naye kwa siri … …………..Source #HekaHeka #CloudsFM

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania hakuna mashabiki wa kweli kwenye muziki-One the Incredible

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, One the Incredible amesema wasanii bado wahawana mashabiki na ndio sababu ya kutokuwepo kwa mauzo ya albamu. Rapper huyo ambaye ameachia ngoma mpya ‘Danga’, ameeleza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama mkwe wa Diamond Platnumz afariki Dunia

Mama mzazi wa Zari The Boss Lady ambaye ni mpenzi na mzazi mwenza wa mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz amefariki dunia asubuhi hii baada ya kuumwa. Kupitia Instagram yake asubuhi hii Zari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mungu atenda muujiza wake kwa Millen Magese na apata mtoto

Kuna kipindi alikata tamaa mpaka akajiandaa kuondoa kizazi na hapo ni baada ya kufanyiwa  oparesheni zisizopungua 13 ambapo pamoja na hayo, aliambiwa moja ya tiba ya tatizo hilo liitwalo...

View Article

Waziri Mkuu awahasa wakulima wasiuze mazao yao ovyo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kusimamia biashara ya mazao mbalimbali katika maeneo yao ili wakulima waweze kupata tija huku akiwataka...

View Article

Mazishi na muziki -Ghana

Imeripotiwa na BBC News kuwa Ghana kuna vikundi maalum kwa ajili ya kubeba jeneza yaani mfiwa unakodi watu hao ambao watabeba jeneza kwa shamrashamra na mbwebwe siku ya mazishi kama sehemu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

(Eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia),Haya ni baadhi ya yale maneno 68...

Ni siku chache zimepita toka Zari ambae ni Mama watoto wa Mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz afiwe na Mama yake mzazi nyumbani kwao Uganda, msiba ambao umetokea mwezi mmoja baada ya Zari...

View Article

Kibiti Geust House na Viwanja vya panda bei

Taarifa hiyo yenye kuashiria dalili njema za kurejea kwa amani na utulivu kwa wakazi wa wilaya hiyo iliyopo mkoani Pwani, ilithibitishwa na jeshi la Polisi kupitia kwa msemaji wake, Barnabas...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Marekani yasema haina uadui na Korea Kaskazini

Serikali ya Marekani haitaki mabadiliko ya utawala Katika Korea Kaskazini, waziri wa mambo ya nje wa Marekani anasema, huku hofu ikitanda juu ya mpango wa silaha wa Pyongyang. “Sisi si maadui zenu, ”...

View Article
Browsing latest articles
Browse All 16 View Live




Latest Images